Chagua bidhaa, weka idadi, kisha uza - kila kitu kingine kinajazwa kiotomatiki. Sekunde chache tu kwa kila mauzo.
Jua stock iliyopo ya kila bidhaa muda wowote, na upate onyo mapema kabla ya bidhaa kuisha.
Ona faida yako halisi papo hapo, kwa kipindi chochote unachotaka - siku, wiki au mwezi.
Endelea kuuza na kurekodi hata mtandao ukikatika - taarifa zinatumwa moja kwa moja mtandao ukirudi.
Wape kila mfanyakazi ruhusa mahususi, wewe kama mmiliki ukiwa na udhibiti kamili wa kila kitu.